Home » » JE HIVI VICHAKA VYA BARABARA YA SAM NUJOMA , NAVYO NI MAPAMBO KAMA MAUA?

JE HIVI VICHAKA VYA BARABARA YA SAM NUJOMA , NAVYO NI MAPAMBO KAMA MAUA?

Kumekuwa na ongezeko la Manyasi siku hadi siku katika Barabara hii  ya Sam Nujoma kitendo kinacho sababisha eneo hili  kuonekana kama kichaka ama eneo la Kulishia Mifugo.
Hii ni barabara Maarufu sana ambapo Viongozi mbalimbali hupita na hata watalii hutumia njia hii lakini hakuna usafi unao fanyika hapa.
Na hii ndio hali halisi tazama picha hizi...

 Haya ni Majani ambayo yamejiotea tuu, Hakuna anaye hangaika nayo hata Chembe.
 Majani hayo yanasababisha hadi kuziba kwa Chemba za Maji

 Hapa ni Jirani kabisa na Kituo cha Rufungila ambapo Majani haya yanaonekana kukuwa zaidi huku wahusika wakiwa hata hawaoni hili, wala jitihada za kutoa majani hayo.

 Unaweza kusema ni sehemu ya Malisho ya mifugo


 Sio kati kati ya Barabara tuu lakini pia Pembezoni kuna shida ya nyasi hizo kukuwa bila mpangilio.

Muhimu kuweka Jiji safi.. Hata kama nyasi zinatakiwa basi ziwe katika Kiwango Stahimili..
Picha na Dar es salaam Yetu

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa