Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » LIVE MUDA HUU KUTOKA VIWANJA VYA CHUO KIKUU JIJINI DAR ES SALAAM, SHEREHE ZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ZILIZO ANDALIWA NA CSO GENDER COALITION ZINAENDELEA KUFANA.

LIVE MUDA HUU KUTOKA VIWANJA VYA CHUO KIKUU JIJINI DAR ES SALAAM, SHEREHE ZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ZILIZO ANDALIWA NA CSO GENDER COALITION ZINAENDELEA KUFANA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Mkamiti Mgawe akiwa anaendelea na Baadhi ya michezo na baadhi ya wanafunzi wa shule Mbalimbali ambao wamefika katika sherehe hizo zinazoendelea katika Uwanja wa Chuo Kikuu
 Baadhi ya wanafunzi wakiwa wanaendelea na michezo mbalimbali walati wa sherehe hizo

 Wanafunzi Mbalimbali wakifuatilia Sherehe hizo
 Hawa na wanafunzi wenye ulemavu wa aina mbalimbali wakiwa wanafuatilia kwa umakini sherehe hizi
 Mmoja ya walemavu akiwa amekonga nyoyo za wengi baada ya kuporomosha burudani ya nguvu

Endelea kufuatilia hapa...

Picha na Dar es salaam Yetu

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa