Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Matukio Katika Maadhimisho Siku ya Wanawake Duniani na TGNP

Matukio Katika Maadhimisho Siku ya Wanawake Duniani na TGNP

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. 
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa TGNP-Mtandao, Bi. Usu Mallya (aliyesimama) akitoa mada kwa washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania. Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa TGNP-Mtandao, Bi. Usu Mallya (aliyesimama) akitoa mada kwa washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia TanzaniaKaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi (kulia) akichukua dondoo muhimu wakati wa uwasilishwaji mada anuai katika maadhimisho hayo. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi (kulia) akichukua dondoo muhimu wakati wa uwasilishwaji mada anuai katika maadhimisho hayo.Washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijumuika katika burudani huku wakionesha majarida anuai ya kupinga ukatili, unyanyasaji wowote wa kijinsia kwa wanawake nchini Tanzania. Washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijumuika katika burudani huku wakionesha majarida anuai ya kupinga ukatili, unyanyasaji wowote wa kijinsia kwa wanawake nchini Tanzania.Baadhi ya washiriki anuai wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao wakifuatilia mada zilizowasilishwa katika maadhimisho hayo. Baadhi ya washiriki anuai wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao wakifuatilia mada zilizowasilishwa katika maadhimisho hayo.Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijisajili kabla ya kujumuika na wenzao katika maadhimisho. Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijisajili kabla ya kujumuika na wenzao katika maadhimisho.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi (wa kwanza kulia) akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo akichukua dondoo muhimu. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi (wa kwanza kulia) akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo akichukua dondoo muhimu.Baadhi ya washiriki wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Baadhi ya washiriki wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.Katika maadhimisho hayo baadhi ya wajasiriamali walijitokeza kuonesha bidhaa zao kwa washiriki. Katika maadhimisho hayo baadhi ya wajasiriamali walijitokeza kuonesha bidhaa zao kwa washiriki.Baadhi ya viongozi wa vyama anuai vya wanawake wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Baadhi ya viongozi wa vyama anuai vya wanawake wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa