Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Licha ya kuwepo kwa
madimbwi ya maji yaliyochanganyikana na maji taka kutokana na mvua
zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam , raia hao wa kigeni ambao
hawakufahamika wanatoka taifa gani walinaswa na kamera ya mtandao wa
habari za jamii.com wakipita maeneo ya posta mpya jirani na jengo la IPS
wakiwa pekupeku jambo ambalo ni hatari kwa afya zao.
Hata hivyo haikuweza kufahamika mara moja walikokuwa wakienda.
Kwa
miaka ya hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya madhehebu kutoka nje ya
nchi ambayo waumini wake hawavai viatu kutokana na imani zao. (Picha zote na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
0 comments:
Post a Comment