Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akifungua Mkutano wa TCRA na wamiliki wa Blogs Tanzania.
Mr. Gunze akiwa anamkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Profesa John Nkoma .
PBAO Injinia Andrew Kasaka akiwasilisha Muongozo wa kuwasaidia Bloggers wakati wa Kuripoti taarifa kuelekea Uchaguzi mkuu 2015 na Serikali za Mitaa.
Washiriki katika Mkutano huo.
Picha na Dar es salaam yetu Blog
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment