Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kutoka kushoto) Mama Pili Balozi na Mama Asha Suleiman Iddi wake wa Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakiwa katika Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana wakifuatilia kwa makini wakati vikundi mbali mbali vikiburudisha .[Picha na Ikulu.]
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment