Home »
» MISS ILALA 2014 ASHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA NA WATOTO WA KITUO CHA MWANA ORPHANS CENTRE
MISS ILALA 2014 ASHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA NA WATOTO WA KITUO CHA MWANA ORPHANS CENTRE
Miss
Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwanawisha mikono watoto yatima wa kituo cha
Mwana Orphans Centre kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam katika
hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika katika hoteli ya Cape Town Fish
Market. (Picha na John Dande)
Miss
Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwagawia chakula watoto wanaolelewa na kituo
cha kulelea watoto yatima cha Mwana Orphans Centre kilichopoVingunguti
jijini Dar es Salaam katika hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika
juzi katika hoteliya Cape Town Fish Market.
Miss Ilala 2014, Jihan Dimack akila chakula pamoja na watoto hao.
Miss 2014 Jihan Dimack akitoa zawadi kwa watoto hao.
Miss
Ilala mwaka 2014 Jihan Dimack akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya
watoto wanaolelewa na kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwana Orphans
Centre kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam katika hafla ya
chakula cha mchana,iliyofanyika katika hoteli ya Cape Town Fish Market.
Miss Ilala 2014 Jihan Dimack akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa hoteli ya Cape Town Fish Market.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment