Wanaharakati
kutoka shirika la WiLDAF wakiwa katika maandalizi ya matembezi ya
maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yaliayoanzia
viwanja vya Mnazi mmoja na kuishia katika Ukumbi wa Karimjee hapo jana.
Maandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipita katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam hapo jana

Maandamano
ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipokelewa na
Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na
Watoto, Anna Maembe
Mgeni
rasmi katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Katibu Mkuu wa
Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe ambaye
alikuwa anamuwakilisha Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akitoa hotuba yake.
Mratibu
wa Kitaifa shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Ndugu Judith
Odunga akitoa hotuba yake katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:
Post a Comment