Lori la mafuta limekata tela lenye namba za usajili T 172ABT
na kupibnduka jioni hii katika makutano ya barabara za Nyerere na
Mandela jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda
kuwa ni mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata
kona akitokea mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.
Mafuta aina ya petroli yakimwagikaPolisi Usalama barabarani wakilinda eneo hilo
Tela hilo T 172ABT likiwa chini
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment