Hivi ndivyo Club Olympia ilivyoteketea kwa moto na kusababisha uharibifu wa Mari nyingi na zengine kuibiwa
Mmiliki wa Club Olympia Bwana Samwel Mwaisumbe akitoa maelezo juu ya Moto uliounguza Pub yake kwamba inasemekana moto huo ulisababishwa na Hitilafu ya umeme na kuwa wao hawakuwa na taarifa wakati moto unaanza ni msamalia mwema tuu majira ya saa kumi na moja alfajiri ndiye alitoa taarifa kwa jeshi la Zima moto kuwa kuna moto unawaka eneo hilo, ameongeza kuwa mali nyingi zimeteketea kwa moto na zengine kuibiwa, alimalizia kuwa hakuna mtu aliyepata madhara kwa sababu wote hawakuwepo katika pub hiyo.
Mmoja wa wakuu kutoka kikosi cha zima moto J.K Mwasabeja akielezea juu ya tukio la moto huo, na kusisitiza taarifa kamili itakuja baadae mara baada ya uchunguzi kukamilika.
Club Olympia kwa nje
Kikosi cha Askari wa zimamoto wakiwa bado wanaendelea na kazi yao
Lango la Kuingilia Club Olympia
Baadhi ya maeneo ambayo yameteketea
Hili ni eneo ambalo limepona na Moto
Eneo la ndani ya Club hiyo
Eneo la Counter
Eneo la Jikoni
Eneo la watu ambapo watu walikuwa wakikaa
Baadhi ya watu wakishuhudia
PICHA NA DAR ES SALAAM YETU BLOG
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment