Meneja
Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco), Simon Jilima
(katikati) akielezea maendeleo ya mradi wa Kinyerezi I kwa Waziri wa Nishati na
Madini Mhe. George Simbachawene (wapili
kulia) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo anaeshughulikia Nishati, Charles Mwijage
(kulia), Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Ngosi Mwihava
(kushoto) walipotembelea mradi huo jana baada ya kuanza kazi.
Mkurugenzi
wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Dk. James Mataragio (kushoto)
akimueleza Waziri wa Nishati na Madini, George
Simbachawene (wapili kushoto), Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na
Madini, Ngosi Mwihava na Naibu Waziri wa Wizara hiyo anaeshughulikia Nishati, Charles
Mwijage (kulia) juu ya hatua iliyofikiwa ya ukamilishaji wa kituo cha kuchakata
gesi cha Kinyerezi I pamoja na ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi jijini
Dar es Salaam walipotembelea kituo hicho
Waziri wa Nishati na
Madini Mhe. George Simbachawene na Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati)
Mhe. Charles Mwijage (katikati) wakiwa
katika picha ya pamoja na watendaji wa
Wizara ya Nishati na Madini na wataalamu
wa mradi wa kuchakata gesi wa Kinyerezi.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment