Home » » BREAKING NUUZ: PROFESA SOSPETER MUHONGO AJIUZULU

BREAKING NUUZ: PROFESA SOSPETER MUHONGO AJIUZULU


Waziri wa Nishati na Madini,Mh.Prof. Muhongo akizungumza na waandishi wa habari muda huu,ambapo ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo.
Habari kutoka katika mkutano wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (pichani) na wanahabari ofisini kwake Dar es salaam muda huu zinasema kiongozi huyo ameamua kubwaga manyanga. Sababu na habari kamili ya hili tutawaletea punde baada ya mkutano huo kwisha.

Ila kasema ameamua kujiuzulu kwa kile alichotaja kuiachia serikali na Bunge kusitisha malumbano ya sakata la Escrow, akidai inaonekana yeye ndiyo tatizo. 

Taarifa kamili inakuija
Chanzo Michuzi Blog

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa