Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt JAKAYA MRISHO KIKWETE alipowaapisha Msajili wa Mahakama
ya Rufaa Bibi KATARINA TENGIA REVOCATI, Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu
na Utawala Bora Bw BAHAME TOM MUKIRYA NYANDUGA, Makamu Mwenyekiti wa tume hiyo
Bw IDD RAMADHAN MAPURI, na Makamishna wa tume ya Hakiza binadamu MOHAMED KHAMIS
HAMAD, Dkt KELVIN MANDOPI, Bibi REHEMA MSABILA NTIMIZI na Bibi SALMA ALI HASSAN.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment