Muuuza mishikaki maarufu Temeke stand ya mabasi anayejulikana kwa jina
maarufu la Said mishikaki amekamatwa na nyama ya paka na kisha
kusulubiwa na binadamu wenye hasira. Hivi mtu huruhusiwi kuwa na nyama
ya paka.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment