Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) (kushoto) akikabidhi tuzo ya
utendaji uliotukuka katika eneo la ununuzi wa umma kwa Mkurugenzi wa
Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa
Umma Bw.Samson Akyoo (kulia) katika Maadhimisho ya miaka 10 ya PPRA
yaliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jana.Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA Balozi Martin Lumbanga (wa pili kutoka kushoto) na Mtendaji Mkuu Mstaafu wa PPRA Dkt. Ramadhani Mlinga (wa pili kutoka kulia).
Mkurugenzi
wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi
wa Umma Bw.Samson Akyoo (wa tatu kutoka kulia) akionyesha
tuzo ya utendaji uliotukuka katika eneo la ununuzi wa umma kwa watumishi
wa ofisi yake.Tuzo hiyo alikabidhiwa na PPRA katika Maadhimisho ya
miaka 10 ya PPRA yaliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jana.
0 comments:
Post a Comment