Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Watu wenye ulemavu leo wamefunga Barabara katika makutano ya Uhuru na Kawawa wakipinga kitendo cha kuvunjiwa vibanda vyao vya Biashara na kusababisha msongamano mkubwa wa magari.
0 comments:
Post a Comment