Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Baadhi
ya madawati 270 yaliyonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Temeke kwa Shule
za Sekondari zilizopo Jimboni kwake ambapo madawati 100 yalikwisha
chukuliwa kupelekea jumla ya madawati 300 yenye jumla ya Sh. Mil 60
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mbunge
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akikabidhi madawati na Mkuu wa Chuo
cha Mafunzo na Ufundi Stadi (Veta) , Samuel Ng'andu, Dar es Salaam jana,
baada ya mbunge huyo kuamua kununua madawati 270 kwa ajili ya shule za
sekondari zilizopo Jimboni kwake akiongozana na Madiwani wa Jimbo hilo.
Mbunge
Abbas Mtemvu akiongea na Waandishi wa Habari (pichani hawapo) baada ya
kununua madawati katika Chuo cha Ufundi Stadi (Veta) na kuwakabidhi
Madiwani wa Jimboni kwake
Diwani
Kata ya Keko Frances Mtawa (kushoto) , akimshukuru Mkuu wa chuo hicho
cha Veta kuwa mwepesi kuwasikiliza na akatumia nafasi ya kumshukuru
Mbunge wake Abbas Mtemvu kwakuwa muwazi na kuwashirikisha madiwani wa
jimbo hilo, kulia ni Mkuu wa chuo cha Ufundi Stadi Veta na katikati ni
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu
0 comments:
Post a Comment