Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Kati ya Mpira iliyotumika katika Mashindano ya Mtemvu Cup (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Aliyekuwa Makamu wakwanza wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan (mwenye tai) akikagua timu ya mpira ya Mtoni na Azimio wakati wa mashindano ya robo fainali ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam Mtoni ilishinda mabao 4-3.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akisalimia mmoja wa kiongozi wa timu hizo baada ya aliyekuwa Makamu wakwanza wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan kukagua timu zizo Dar es Salaam viwanja vya Mwembeyanga.
Aliyekuwa Makamu wakwanza wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan (watatu kulia) akizungumza na wachezaji baada ya kukagua timu hizo
Athumani Nyamlan akizungumza na waandishi pichani hawapo baada ya kukagua timu hizo
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akizungumza na waandishi wa Habari pichani hawapo baada ya ukaguzi wa timu
Mlinda mlango wa timu ya Azimio Jafary Iddy akimdhibiti mchezaji wa timu ya mtoni Nyaka Abuu wakati alipofika langoni kwake wakati wa mashindano ya robo fainali ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam Mtoni ilishinda mabao 4-3.
Mashabiki wakifatilia mpambano huo
Wadau wakicheza wakati timu hizo zilipokuwa zikichuana
Wadau Mbalimbali wakifatilia mpambano huo
Wasanii Mbalimbali nao walijitokeza akiwemo Mkurugenzi wa Wakubwa na Wanae Saidi fera (kulia) wakatikati teacher Bonge ambaye ni Promota na anaye fatia ni Ispectar Harooni Babu wakati wa mashindano ya robo fainali ya kwanza ya Mtemvu Cup katika
viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam Mtoni ilishinda mabao 4-3.
0 comments:
Post a Comment