Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Jaji Mutungi ajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura

Jaji Mutungi ajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Zikiwa zimebakia siku chache tu kuisha kwa siku zilizotengwa na Serikali kwa wananchi kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura kwa mfumo wa BVR katika Jiji la Dar es salaam.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Mwandikishaji Msaidizi Bi. Maida Ally Yusufu akimsainisha Jaji Mutungi  fomu ambazo zimebeba taarifa zake kwa ajili ya kujiandikisha Leo katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge Jijini Dar es salaam.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Alama za vidole zikichukuliwa na Mwandikishaji Bw. Ernest Moses Selelya mara baada ya kukamilisha taratibu za ujazaji wa fomu ya utambulisho.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Jaji Mutungi akipiga picha kwa ajili ya kitambulisho.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Mhe.Jaji  Francis Mutungi akipokea  kitambulisho cha mpiga kura kutoka kwa Mwandikishaji Bw.Ernest Moses Selelya.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi akiwa na kitambulisho chake mara baada ya kujiandikisha mapema leo katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge Jijini Dar es salaam.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa