Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (Kushoto) akiwa na akiwa na Mjumbe Maalumu wa
Amani na Mwanaharakati wa Mazingira Bi. Getrude Clement (katikati) alipotembelea
Ofisi ya Makamu wa Rais. Naibu Katibu
Mkuu amempongeza kwa kuiwakilisha vema Tanzania Bw. Richard Muyungi.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment