Pichani
Mdau Othman Mangube akiwa sambamba na mkewe Bi Mariam Swedy wakiwa
katika nyuso za furaha,mara baada ya kufunga ndoa yao hapo mwaka
jana,ambapo leo Wanamshukuru Mungu kwa kuvuka milima na mabonde mengi
katika mazingira tofauti tofauti ya maisha na sasa Wanatimiza mwaka
mmoja wa Ndoa yao,ambayo wao bado wanaamini ni changa,lakini kwa rehma
na baraka za Mwenyezi Mungu atawasimamia na kuwaongoza katika mstari
ulio nyoofu na kuwafikisha miaka mingi zaidi.
"Pia
tunawakia heri ndugu jamaa na marafiki popote pale mlipo,tunawashukuru
sana kwa ushirikiano wenu mlioutoa wakati wa kuifanikisha ndoa
hii,nawashukuru sana na tuendelee na ushirikiano huo,sina cha kuwalipa
lakini Mwenyezi Mungu atawalipa zaidi."Asanteni sana
Bwana Othman Mangube akiwa na Mkewe Bi Mariam Swedy katika pozi la picha


0 comments:
Post a Comment