Wakili wa Serikali Mkuu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Charles
Mmbando akiwaeleza waaandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu huduma
za msaada wa kisheria kwa wananchi ambao ni wahitaji wa msaada hiyo juu
ya masuala mbalimbali yanayowakabili, Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha
Mawasiliano wa Wizara hiyo Bi. Sheiba Bulu.
Home »
» Serikali yawataka wananchi kutumia mpango wa msaada wa kisheria.
Serikali yawataka wananchi kutumia mpango wa msaada wa kisheria.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment