Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 |
| Wasanii
wa muziki wa kizazi kipya, ‘Chege Chigunda’ na Ben Pol wakishuhudia
Daktari wa Watoto, Prosper Alute akimhudumia mtoto mwenye umri wa mwezi
mmoja katika hospitali ya CCBRT, mtoto huyo alizaliwa na maradhi ya kupinda miguu ambayo yanatibika. Matibabu hayo hufadhiliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo. |
 |
| Benpol
akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuwaona watoto wenye
matatizo ya kupinda miguu wanaofadhiliwa na Tigo kwa matibabu yao katika
Hospital ya CCBRT pembeni yake ni Chege Chigunda |
Wasanii
wa muziki wa kizazi kipya, ‘Chege Chigunda’ na Ben Pol wakiwa katika
picha ya pamoja na wafanyakazi wa Tigo na Hospital ya CCBRT mara baada
ya kuwaona watoto wenye matatizo ya kupinda miguu wanaofadhiliwa na Tigo
0 comments:
Post a Comment