Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Benki ya NMB yazindua huduma ya malipo ya ving'amuzi vya Star Times

Benki ya NMB yazindua huduma ya malipo ya ving'amuzi vya Star Times

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa NMB, Boma Raballa (kushoto) na Meneja Huduma kwa Wateja wa Star Times, Gaspar Ngowi (kulia) wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma za malipo ya Star Times kupitia benki ya NMB jijini Dar es Salaam. Sasa wateja wa Star Times wanaweza kulipia huduma hizo kwenye tawi lolote la Benki ya NMB au moja kwa moja kwa wajeta wa NMB waliojiunga na huduma za kibenki kwa njia ya simu za mkononi. Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa NMB, Boma Raballa (kushoto) na Meneja Huduma kwa Wateja wa Star Times, Gaspar Ngowi (kulia) wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma za malipo ya Star Times kupitia benki ya NMB jijini Dar es Salaam. Sasa wateja wa Star Times wanaweza kulipia huduma hizo kwenye tawi lolote la Benki ya NMB au moja kwa moja kwa wajeta wa NMB waliojiunga na huduma za kibenki kwa njia ya simu za mkononi.Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa NMB, Boma Raballa (kulia) na Meneja Huduma kwa Wateja wa Star Times, Gaspar Ngowi (kushoto) wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma za malipo ya Star Times kupitia benki ya NMB jijini Dar es Salaam. Sasa wateja wa Star Times wanaweza kulipia huduma hizo kwenye tawi lolote la Benki ya NMB au moja kwa moja kwa wajeta wa NMB waliojiunga na huduma za kibenki kwa njia ya simu za mkononi. Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa NMB, Boma Raballa (kulia) na Meneja Huduma kwa Wateja wa Star Times, Gaspar Ngowi (kushoto) wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma za malipo ya Star Times kupitia benki ya NMB jijini Dar es Salaam. Sasa wateja wa Star Times wanaweza kulipia huduma hizo kwenye tawi lolote la Benki ya NMB au moja kwa moja kwa wajeta wa NMB waliojiunga na huduma za kibenki kwa njia ya simu za mkononi.Meneja Huduma kwa Wateja wa Star Times, Gaspar Ngowi (kushoto) akitoa ufafanuzi namna mteja wao anaweza kufanya malipo kupitia benki ya NMB. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa NMB, Boma Raballa akifuatilia. Meneja Huduma kwa Wateja wa Star Times, Gaspar Ngowi (kushoto) akitoa ufafanuzi namna mteja wao anaweza kufanya malipo kupitia benki ya NMB. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa NMB, Boma Raballa akifuatilia.Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa NMB, Boma Raballa (kulia) akitoa ufafanuzi namna mteja wa benki hiyo na mtu ambaye si mteja anaweza kufanya malipo ya huduma ya Star Times kupitia mtandao wa benki hiyo Tanzania. Kwa sasa wateja wa Star Times wanaweza kulipia huduma hizo kwenye tawi lolote la Benki ya NMB au moja kwa moja kwa wajeta wa NMB waliojiunga na huduma za kibenki kwa njia ya simu za mkononi. Kushoto ni Meneja Huduma kwa Wateja wa Star Times, Gaspar Ngowi akifuatilia. Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa NMB, Boma Raballa (kulia) akitoa ufafanuzi namna mteja wa benki hiyo na mtu ambaye si mteja anaweza kufanya malipo ya huduma ya Star Times kupitia mtandao wa benki hiyo Tanzania. Kwa sasa wateja wa Star Times wanaweza kulipia huduma hizo kwenye tawi lolote la Benki ya NMB au moja kwa moja kwa wajeta wa NMB waliojiunga na huduma za kibenki kwa njia ya simu za mkononi. Kushoto ni Meneja Huduma kwa Wateja wa Star Times, Gaspar Ngowi akifuatilia.Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa NMB, Boma Raballa (kulia) na Meneja Huduma kwa Wateja wa Star Times, Gaspar Ngowi (kushoto) wakipongezana mara baada ya kuzinduwa rasmi huduma za malipo ya Star Times kupitia benki ya NMB jijini Dar es Salaam. Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa NMB, Boma Raballa (kulia) na Meneja Huduma kwa Wateja wa Star Times, Gaspar Ngowi (kushoto) wakipongezana mara baada ya kuzinduwa rasmi huduma za malipo ya Star Times kupitia benki ya NMB jijini Dar es Salaam. [/caption] BENKI ya NMB Tanzania imeingia makubaliano ya kibiashara na kampuni ya Star Times ambapo kwa sasa wateja wa Star Times wanaweza kulipia huduma hizo kwenye tawi lolote la Benki ya NMB au moja kwa moja kwa wajeta wa NMB waliojiunga na huduma za kibenki kwa njia ya simu za mkononi. Ushirikiano huo umezinduliwa jijini Dar es Salaam Makao Makuu ya Ofisi za Star Times, ambapo Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa NMB, Boma Raballa alisema wateja wa NMB waliounganishwa na huduma za kibenki kwa simu za mkononi sasa watafanya malipo yao popote walipo na kwa urahisi, huku wateja wa Star Times ambao hawana akaunti na benki hiyo kuweza kulipia huduma katika tawi lolote la Benki ya NMB. Alisema huduma hiyo licha ya kuwarahisishia kazi wateja itakuwa haina tozo kwa wateja wa NMB hivyo kuwataka wananchi na wateja wa Benki ya NMB waitumie ipasavyo. Alisema hatua ya Benki ya NMB yenye zaidi ya wateja milioni mbili Tanzania huku ikiwa na matawi zaidi ya 176 itasogeza zaidi huduma za malipo ya ving'amuzi vya Star Times kwa wateja mbalimbali. Kwa upande wake Meneja Masoko wa NMB, Bwana Damien alisema wateja wa NMB na wengine wasio na akaunti watakapoitaji huduma ya malipo watatakiwa kubofya *150*66# na kuchagua huduma ya malipo ya Star Times na kuendelea kupata maelekezo rahisi katika kufanikisha malipo yao.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa