Home » » TaGLA na TBA yakamilisha Mafunzo ya Siku Tano kwa Njia ya Mtandao (Video Conferencing).

TaGLA na TBA yakamilisha Mafunzo ya Siku Tano kwa Njia ya Mtandao (Video Conferencing).

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

Wadau kutoka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) pamoja na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wakimsikiliza mtoa mada kwa njia ya video (Tele Conference) wakati wa Mafunzo ya Siku Tano yaliyolengwa kwa ajili ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhusiana na masuala mbalimbali yanayaohusu majengo 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.


Meneja Mafunzo toka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Dickson Mwanyika akichangia mada wakati wa mafunzo hayo siku ya ufungaji jan 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.


Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Bw. Elius Mwakalinga akitoa neno la sukurani kwa mtoa mada (hayupo pichani) mara baada ya kumalizika kwa mafunzo ya siku tano yaliyoaratibiwa na Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.


Meneja Mafunzo toka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Dickson Mwanyika akiwashukuru wadau waliohudhuria mafunzo hayo wakati wa ufungaji jan 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.


Mdau kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Mhandisi Mtapuli Juma akichangia mada kuhusiana na mafunzo ya siku tano waliyopatiwa na Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.


Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Bw. Elius Mwakalinga akisisitiza jambo mara baada ya kumalizika kwa mafunzo ya siku tano yaliyoaratibiwa na Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.


Wadau kutoka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) pamoja na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wakimsikiliza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Bw. Elius Mwakalinga wakati akisisitiza jambo mara baada ya kukamilika kwa Mafunzo ya Siku Tano yaliyolengwa kwa ajili ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhusiana na masuala mbalimbali yanayaohusu majengo 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), Bw. Charles Senkondo pamoja na Meneja Mafunzo toka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Dickson Mwanyika wakiangalia baadhi ya vyeti kwa ajili ya Wahitimu mafunzo ya siku tano 3 Juni, 2016.

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), Bw. Charles Senkondo (kushoto) akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku tano Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Bw. Elius Mwakalinga (kulia) 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya siku tano kwa njia ya mtandao wakipokea vyeti vyao toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Charles Senkondo (katikati) pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Bw. Elius Mwakalinga (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoaratibiwa na Ofisi ya Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), Bw. Charles Senkondo akiwashukuru wateja wake mara baada ya kumalizika kwa mafunzo ya siku tano yaliyoaratibiwa na Ofisi yake 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), Bw. Charles Senkondo (katikati) pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Bw. Elius Mwakalinga (kulia) wakikata keki kwa ajili ya kujipongeza mara baada ya kukamilika kwa mafunzo ya siku Tano kwa njia ya mtandao Juni 3, 2016 jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), Bw. Charles Senkondo (kushoto) pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Bw. Elius Mwakalinga wakila keki mara baada ya kukamilika kwa mafunzo ya siku Tano kwa njia ya mtandao Juni 3, 2016 jijini Dar es Salaam.

Wadau kutoka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) pamoja na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)wakifurahi kwa pamoja kwa kula keki mara baada ya
kukamilika kwa mafunzo ya siku Tano kwa njia ya mtandao Juni 3, 2016 jijini Dar es Salaam.

(Picha zote na Benedict Liwenga, MAELEZO)

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa