Home »
» Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mziki Tanzania Bw.John Kitime kuhusu kuboresha tasnia ya Mziki nchini.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mziki Tanzania Bw.John Kitime kuhusu kuboresha tasnia ya Mziki nchini.
 |
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania
Bw.John Kitime akisaini kitabu cha wageni alipowasili ofisini kwa Naibu Waziri
wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura kuwasilisha
taarifa ya mapendekezo ya kuboresha tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21 Jijini
Dar es Salaam.
|
 |
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Annastazia Wambura akizungumza na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki
Tanzania Bw.John Kitime mara baada
ya kupokea taarifa ya mapendekezo ya
kuboresha tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
|
 |
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania
Bw.John Kitime akizungumza na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Annastazia Wambura ofisini kwa Naibu Waziri wakati aki wasilisha taarifa ya mapendekezo ya
kuboresha tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
|
 |
Afisa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,
Sanaa na Michezo Bw. Habibu Msammy akichangia
mada wakati wa majadaliano kati ya na Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura na Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime kuhusu maboresho ya tasnia ya Muziki hapa
nchini leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
|
 |
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Annastazia Wambura akipokea moja ya
kazi ya muziki wa dansi alizowahi
kufanya Mzee Kitime baba wa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania
Bw.John Kitime leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
|
 |
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Annastazia Wambura (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania
Bw.John Kitime(kulia), wa pili kushoto
ni Afisa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,
Sanaa na Michezo Bw. Habibu Msammy na
kushoto katibu wa Naibu Waziri Bi. Anna Nkinda leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
|
Picha na Shamimu Nyaki
0 comments:
Post a Comment