Home »
» Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge na Watu wenye Ulemavu kuhamia Dodoma wiki ijayo
Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge na Watu wenye Ulemavu kuhamia Dodoma wiki ijayo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Kazi,Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (Kushoto) akiongea leo jijini Dar es Salaam na Watendaji Wakuu na Watumishi wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu utekelezaji wa kuhamia Dodoma, Kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu), Dr. Abdallah Possi.
0 comments:
Post a Comment