Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata picha ya
pamoja na Wanajeshi wa JWTZ Kikosi cha Anga
603 KJ Majumba Sita Ukonga jijini Dar es salaam alikotembelea
kuwapongeza kwa kusherehekea miaka 52 ya Jeshi la Wananchi leo Septemba 1, 2016+
PICHA NA IKULU


0 comments:
Post a Comment