Katibu
Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) Bibi. Joyce Fissoo akizungumza wakati
wa kikoa baina yake na Ujumbe kutoka Kampuni ya Barazani Entertainment
walipofika ofisini kwa ajili ya kutambulisha Mradi wa TYEEO Barazani leo Jijini Dar es Salaam.Mradi
huo unalenga kuinua vipaji vya wasanii wa Filamu nchini.
Home »
» Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania aumwagia sifa Mradi wa TYEEO Barazani na kuahidi kutoa ushirikiano.
0 comments:
Post a Comment