Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
(kulia) akiangalia matukio ya picha katika album ya wajasiriamali wa
kikundi cha Handproduct of Product leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni
Mwenyekiti wa Handproduct of Tanzania Bibi. Elizabeth Matarimo.
Home »
» Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Mixhezo Mhe. Anastazia Wambura akutana na wajasiliamali wa Hand Production of Tanzania
0 comments:
Post a Comment