Home » » TFF YATAJA MAKUNDI YA DARAJA LA PILI.

TFF YATAJA MAKUNDI YA DARAJA LA PILI.




























 

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa orodha ya makundi manne na timu zitakazoshiriki Ligi Daraja la Poli ((SDL) inayotarajiwa kuanza baadaye, mwaka huu. Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi (TPLB), chombo maalumu cha kusimamia michezon inayoendeshwa na TFF makundi na timu hizo ni kama ifuatavyo. Kundi A. Bulyanhulu FC- Shinyanga Geita Gold SC- Geita Mashujaa FC- Kigoma Milambo SC- Tabora Polisi Tabora FC- Tabora Transit Camp FC- Shinyanga Kundi B AFC- Arusha Green Warriors- Dar es Salaam JKT Oljoro- Arusha Kitayosa- Kilimanjaro Madini SC- Arusha Pepsi- Arusha Kundi C Abajalo SC- Dar es Salaam CDA- Dodoma Changanyikeni- Dar es Salaam Cosmopolitan- Dar es Salaam Kariakoo FC- Lindi Burkina FC- Morogoro Kundi D Namungo FC- Lindi Mawenzi Market- Morogoro Mkamba Rangers- Morogoro Sabasaba United- Morogoro The Mighty Elephant- Ruvuma Wenda FC- Mbeya.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa