Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mgeni Rasmi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua kitabu
kiitwacho “From Limumba Street to the Hill and Beyond” wakati wa sherehe za kilele
cha Maadhimisho ya Miaka 55 tangu Chuo hicho kianzishwe, sherehe hizo
zimefanyika katika ukumbi wa Nkrumah, Kampasi ya Mwalimu J. K. Nyerere
(Mlimani) mapema hii leo.
0 comments:
Post a Comment