Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » WAZIRI MAHIGA AZUNGUMZIA ZIARA YA MFALME MOHAMMED WA VI WA MOROCCO NCHINI

WAZIRI MAHIGA AZUNGUMZIA ZIARA YA MFALME MOHAMMED WA VI WA MOROCCO NCHINI


Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiongea na Wahandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu ziara rasmi ya siku tatu ya Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco nchini. Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara Jijini Dar es Salaam.  Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco anatarajiwa kuanza ziara hiyo tarehe 23 hadi 25 Oktoba, 2016.
Baadhi ya wanahabari wakimsikiliza Mhe. Waziri Balozi Dkt. Augustine Mahiga

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa