Na Anthony John, Globu ya Jamii
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge kazi ,vijana Ajira
na watu wenye ulemavu, Jenista Muhagama, amewataka waajili wote
kuwasilisha Michango ya wafanyakazi wao Mfuko Fidia kwa Wafanyakazi WCF
kwa wakati.
Akizungumza katika Uzinduzi wa Huduma za utoaji wa Mafao ya fidia
kwa wafanyakazi na ubia kati ya Mfuko na watoa Huduma za Afya amesema
kuwa
kwa Mwaka huu wafedha Serikali imewasilisha Michango ya wafanyakazi
wake wote ambapo alizitaka Sekta binafsi pia kuwasilisha Michango yao
kwa wakati.
Sanjari na Hayo Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Masha Mshomba
ameongeza kuwa Mpaka kufikia Novemba 30 Mwaka huu Jumla ya waajili 5945
wamechangia na wamepewa na ya usajili.
Hata Hivyo Mweketi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko huo Emmanuel
Humba amesema Mfuko Huo utachangia kwa kiwango kikubwa Sera ya Tanzania
ya Viwanda iliyoa anzishwa na Serikali ya awamu ya tano kwani
wafanyakazi watakapo kuwa na Afya njema watafanya kazi kwakujiamini na
kuleta Maendeleo.
001 na 002:- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera, Uratibu na Bunge, Mhe. Jenista Mhagama, akihutubia kwa niaba ya
Waziri Mkuu, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Huduma ya Utoaji Mafao ya
Fidia kwa Wafanyakazi, WCF uliozinduliwa jijini Dar es Salaam, leo.
Picha na Muhidin Sufiani
01:- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Uratibu na Bunge, Mhe. Jenista Mhagama, akikata utepe kuzindua rasmi
Huduma ya Utoaji Mafao ya Fidia kwa Wafanyakazi, WCF wakati wa halfa ya
uzinduzi huo iliyofanyika Jengo la LAPF jijini Dar es Salaam,leo. Kulia
kwake ni Naibu wake, Abdallah Possi na Mkurugenzi wa Mfuko huo, Mosha
Msomba. Picha na Muhidin Sufiani
02:- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Uratibu na Bunge, Mhe. Jenista Mhagama, na baadhi ya viongozi
wakifurahia baada ya kuzindua rasmi Huduma ya Utoaji Mafao ya Fidia kwa
Wafanyakazi, jijini Dar es Salaam,leo.
1:- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Uratibu na Bunge, Mhe. Jenista Mhagama, akimpongeza msanii wa muziki wa
kizazi kipya,Mrisho Mpoto kwa kufanya kazi nzuri ya ubalozi na
kuutangaza Mfuko huo.
03:- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Uratibu na Bunge, Mhe. Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha utoaji
huduma bora za afya, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,
Bernard Konga, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Huduma ya Utoaji wa Mafao
ya Fidia kwa Wafanyakazi na Ubia kati ya Mfuko na watoa huduma za afya,
WCF uliozinduliwa jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Muhidin Sufiani
04:- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Uratibu na Bunge, Mhe. Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha utoaji
huduma bora za afya, Mkuu wa Idara ya Utawala wa Hospitali ya
Muhimbili, Leilla William, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Huduma ya
Utoaji wa Mafao ya Fidia kwa Wafanyakazi na Ubia kati ya Mfuko na watoa
huduma za afya, WCF uliozinduliwa jijini Dar es Salaam, leo. Picha na
Muhidin Sufiani
05:- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Uratibu na Bunge, Mhe. Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha utoaji
huduma bora za afya, Mkurugenzi Mtendaji wa ‘Muhimbili Orthopaedic
Institute’ Dkt. Othman Kiloloma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Huduma
ya Utoaji wa Mafao ya Fidia kwa Wafanyakazi na Ubia kati ya Mfuko na
watoa huduma za afya, WCF uliozinduliwa jijini Dar es Salaam, leo. Picha
na Muhidin Sufiani
06:- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Uratibu na Bunge, Mhe. Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha utoaji
huduma bora za afya, Mwakilishi wa Stratage Insurance, Dkt. Aisha
Ahmed, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Huduma ya Utoaji wa Mafao ya Fidia
kwa Wafanyakazi na Ubia kati ya Mfuko na watoa huduma za afya, WCF
uliozinduliwa jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Muhidin Sufiani
07:- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Uratibu na Bunge, Mhe. Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha utoaji
huduma bora za afya, Mwakilishi wa AAR, wakati wa hafla ya uzinduzi wa
Huduma ya Utoaji wa Mafao ya Fidia kwa Wafanyakazi na Ubia kati ya Mfuko
na watoa huduma za afya, WCF uliozinduliwa jijini Dar es Salaam, leo.
Picha na Muhidin Sufiani
08:- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Uratibu na Bunge, Mhe. Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha utoaji
huduma bora za afya, Mkuu wa Kitengo cha Tiba wa Jubilee Insurance,
Keneth Agunda, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Huduma ya Utoaji wa Mafao
ya Fidia kwa Wafanyakazi na Ubia kati ya Mfuko na watoa huduma za afya,
WCF uliozinduliwa jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Muhidin Sufiani

0 comments:
Post a Comment