Home » » RAIS NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAPYA WA CHAMA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI NA DC MTEULE WA UBUNGO

RAIS NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAPYA WA CHAMA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI NA DC MTEULE WA UBUNGO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
  Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mteule Mhe. Kisare Makori  (kushoto) pamoja na viongozi wapya wa CCM aliowateua hivi karibuni. Kutoka kulia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole, Katibu NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa  Kanali Ngemela Eslom Lubinga na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg. Rodrick Mpogolo walipoenda kujitambulisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 20, 2016.
Picha na Ikulu

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa