Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » VIDEO: WAELIMISHAJI CREW WALETA UJUMBE MZITO KWA NJIA YA VIDEO KUHUSU NDOA

VIDEO: WAELIMISHAJI CREW WALETA UJUMBE MZITO KWA NJIA YA VIDEO KUHUSU NDOA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Ni simulizi ya kweli inayo lenga kuelimisha jamii kuhusiana na suala la ndoa katika karne ya sasa. Kumekuwa na sababu za hapa na pale zinazo pelekea vijana wengi kuchelewa au kushindwa kabisa kuoa na kuolewa.

Kuoa na kuolewa ni moja kati ya sehemu ya maisha ya mwanadam na inafika wakati mtu anakuwa na shauku ya kuoa au kuolewa, lakini kutokana na baadhi ya vikwazo vinavyo jitokeza imekuwa ni changamoto kubwa.

Baada ya kuliona hilo kwa jicho pevu “WAELIMISHAJI CREW”  Zaydar ,Moses, Aisha, Happy & Kilaka wamekuletea ujumbe mzito kwa njia ya video  kupitia Short Films zinazo andaliwa na Vinec Production Tanzania - Dar es salaam.
Tunaomba ushirikiano wako wa kusambaza hii video iliyobeba ujumbe mzito wenye kuelimisha Jamii. Kwa msaada na maswali kuhusiana na video hii pamoja na wasanii walio shiriki humo wasiliana nasi kwenye 0658161950 asante.0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa