Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Ghana Mhe. Nana Addo Dankwa Akufo
katika Uwanja wa Kimataifa wa Bole Mjini Addis Ababa Ethiopia muda mfupi
kabla ya kuondoka nchini humo alikokuwa akihudhuri Mkutano wa 28 wa
wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) uliomalizika jana. Mhe.
Rais Nana Addo ameahidi kuendeleza na kuimarisha zaidi ushirikiano na
uhusiano kati ya nchi yake na Tanzania na amekubali mwaliko wa Mhe. Rais
Magufuli wa kuitembelea Tanzania.
Picha na Ikulu
0 comments:
Post a Comment