Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » SERIKALI IMESHAURIWA KUHAMASISHA MATAIFA MENGINE YA KUWEKEZA KATIKA VIWANDA VYA DAWA NCHINI TANZANIA

SERIKALI IMESHAURIWA KUHAMASISHA MATAIFA MENGINE YA KUWEKEZA KATIKA VIWANDA VYA DAWA NCHINI TANZANIA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 .Balozi wa India nchini Mhe.Sandeep Arya akizungumza katika mkutano wa wadau mbalimbali wa masuala ya dawa ya kulevya leo jijini Dar es Salaam.
 .Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Hiiti Sillo akizungumza katika mkutano wa wadau mbalimbali wa masuala ya dawa ya kulevya leo jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Uhakiki Ubora wa Hunduma za Afya wa Wizara ya Afya Dk Mohammed Ally Mohammed akizungumza katika mkutano wa wadau mbalimbali wa masuala ya madawa ya kulevya leo jijini Dar es Salaam.
 Rais TCCIA, Bw Ndibalema Mayanja akizungumza katika mkutano wa wadau mbalimbali wa masuala ya dawa ya kulevya leo jijini Dar es Salaam.Mkutano ukiendelea Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
CHANZO MICHUZI MEDIA GROUP

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa