Jengo
la NSSF Water Front lililopo eneo la Stesheni jijini Dar es Salaam
likionekana kufuka moshi mzito ikidaiwa limeshika moto mchana huu ambapo
mpaka sasa hakujajulikana nini chanzo cha moto huo. Kwa taarifa zaidi
zinakuijia hapo baadae.
Baadhi ya wapitanjia wakitazama jengo hilo linadaiwa kuungua moto
Chanzo Michuzi Media
0 comments:
Post a Comment