Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Baadhi
ya wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakipewa maelezo na Afisa
Mwanadamizi wa Shirikala Bima la Taifa(NIC) Konjeta Mwaipopo juu ya
namna ya kujiunga na huduma za bima wakati walipotemblea banda la
Shirika hilo, kwenye maonesho ya 12 ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)
yaliyomalizika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
Dar es Salaam.
Mkazi
wa Dar es Salaam, ambaye ni mjasiriamali Manoko Marikishua (kushoto)
akipewa maelezo na Afisa Bima wa shirika la Bima la Taifa (NIC)) juu ya
bima ya mazao wakati alipofika kwenye banda la Shirika hilo, kwenye
maonesho ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyomalizika mwishoni
mwa wiki kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
Wakazi
wa Jiji la Dar es Salaam,wakipata maelezo juu ya huduma za bima toka
kwa Afisa Bima wa Shirikala Bima la Taifa (NIC)) wakati walipofika
kwenye banda la Shirika hilo, kwenye maonesho ya Tume ya Vyuo Vikuu
Tanzania yaliyomalizika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment