Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » YONO KUPIGA MNADA JENGO LA ABLA COMPLEX LA MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 12, 2017

YONO KUPIGA MNADA JENGO LA ABLA COMPLEX LA MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 12, 2017

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Kampuni ya udalali ya Yono Auction Mart inatarajia kupiga mnada jengo la Abla Complex lenye urefu wa ghorofa saba lililopo Mikocheni Dar es Salaam kutokana na mmiliki wake kushindwa kulipa mkopo anaodaiwa na KCB Bank Limited.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bi. Scholastica Kevela, Yono wataendesha Mnada huo August 12, 2017 hapo hapo mjengoni, na amekaribisha yeyote mwenye nia ya kununua jengo afike kwenye mnada huo kuanzia saa nne na nusu asubuhi (From 10.30 am).
 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa