Home » » BREAKING NEWS: ELIZABETH MICHAEL MAARUFU KAMA " LULU" AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 2 JELA

BREAKING NEWS: ELIZABETH MICHAEL MAARUFU KAMA " LULU" AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 2 JELA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Mahakama kuu Dar es salaam ,imemhukumu muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu kifungo cha miaka 2 jela baada ya kumtia hatiani kwa kuua bila kukusudia.

Msanii Elizabeth alituhumiwa kumuua msaani marehemu Steven Kanumba mwaka 2012 ambaye inaaminika alikuwa na uhusiano ya kimapenzi naye.

Hukumu iyo imesomwa na Jaji Sam Rumanyika ambaye amesesma ameridhika na ushahidi wa mashahidi wanne wa upande wa mashtaka na Wazee wa Baraza waliotoa maoni yao kuwa kweli mshtakiwa elizabeth michael aliua bila ya kukusudia.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa