Home » » HALOTEL YATOA MSAADA WA SIMU KWA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

HALOTEL YATOA MSAADA WA SIMU KWA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Billy Mwakatage (wa nne kulia ), akipokea msaada wa simu kutoka kwa Naibu Mkurugenzi wa Halotel Bw. Trieu Binh (wa tatu kushoto) katika makabidhiano yaliyofanyika Makao Makuu ya Halotel jijini Dar es Salaam leo hii. 
Naibu Mkurugenzi wa Halotel Tanzania Bw. Trieu Binh (katikati) akizungumza na Ugeni kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania ukiwakilishwa na Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy Mwakatage (kulia) ) katika makabidhiano ya msaada wa simu yaliyofanyika Makao Makuu ya Halotel jijini Dar es Salaam leo hii 
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy Mwakatage (kushoto) akitoa maelezo kwa Naibu Mkurugenzi wa Halotel (hayupo pichani) katika makabidhiano ya msaada wa simu yaliyofanyika Makao Makuu ya Halotel jijini Dar es Salaam leo 
Naibu Mkurugenzi wa Halotel Tanzania Bw. Trieu Binh akiteta jambo na Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Billy Mwakatage, walipokutana ofisi za Makao Makuu ya Halotel Jijini Dar es Salaam katika makabidhiano ya msaada wa simu leo hii tarehe 02/11/2017
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Halotel Bw. Mhina Semwenda (kushoto) akielezea jambo kwa Kamishna na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (hawako pichani), walipokutana ofisi za Makao Makuu ya Halotel Jijini Dar es Salaam katika makabidhiano ya msaada wa simu leo hii tarehe 02/11/2017
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Billy Mwakatage akimpa mkono wa shukurani Naibu Mkurugenzi wa Halotel Tanzania Bw. Trieu Binh kwa msaada walioutoa kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji hii (Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji)

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA - JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa