Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu
wenye Ulemavu, Stella Ikupa, akimkabidhi Cheti cha Shukrani Meneja wa
Kitengo cha Kujenga uwezo wa Asasi, kutoka Taasisi ya The Foundation for
Civil Society, Edna Chilimo, kutoka kwa Shirikisho la Vyama vya wenye
ulimavu Tanzania, SHIVYAWATA, wakati wa Tamasha la Sita la Watu wenye
Ulemavu, lililofanyika kwenye ukumbi wa LAFP, Makumbusho jijini Dar es
Salaam, leo Nov 2, 2017. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye
Ulemavu, Stella Ikupa, akizungumza wakati wa Tamasha hilo. Kushoto ni
Mwenyekiti wa SHIVYAWATA Taifa, Ummy Nderiango.
Meneja wa Kitengo cha Kujenga uwezo wa Asasi, kutoka Taasisi ya The
Foundation for Civil Society, Edna Chilimo, akizungumza wakati wa
Tamasha hilo.
Meneja wa Kitengo cha Kujenga uwezo wa Asasi, kutoka Taasisi ya The
Foundation for Civil Society, Edna Chilimo, akionyesha Cheti
alichokabidhiwa katika Tamasha hilo.
Mgeni rasmi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi
Ajira na Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa, akiwa katika picha ya pamoja
na washiriki wa Tamasha hilo.
Mgeni rasmi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi
Ajira na Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa, akiwa katika picha ya pamoja
na washiriki wa Tamasha hilo.
Wakipasha misuli baada ya mazungumzo ya muda mrefu
Salamu.......
Paleeee, umeona eeeh....
0 comments:
Post a Comment