Home » » KAMATI YA USALAMA BARABARANI YAADHIMISHA WIKI YA NENDA KWA USALAMA KWA KUCHORA ALAMA ZA VIVUKO VYA WAENDA KWA MIGUU (zebra)

KAMATI YA USALAMA BARABARANI YAADHIMISHA WIKI YA NENDA KWA USALAMA KWA KUCHORA ALAMA ZA VIVUKO VYA WAENDA KWA MIGUU (zebra)

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 Mafundi wa kampuni ya Minica Ltd, kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama Barabarani na Benki ya Stan Bic, wakichora alama za kivuko cha waenda kwa miguu 'Zebra' katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi katika makutano ya Taa za kuongozea magari za Ubalozi wa Ufaransa Dar es Salaam, leo mchana, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa usalama inayoendelea. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Mafundi wakiweka alama kabla ya kuanza kuchora
Mafundi wakiendelea kuchora alama
Mdau akishiriki kuchora alama

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa