Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimmkabidhi nyenzo za kazi Mhe. Dotto Mashaka Biteko baada ya
kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine wakimsikiliza Mhe. Dotto Mashaka Biteko akila kiapo cha
Uadilifu cha Viongozi wa Umma baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa
Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine wakimsikiliza Mhe. Dotto Mashaka Biteko akiongea machache baada
ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine wakimsikiliza Spika Job Ndugai akizungumza machache baada ya
Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Madini katika
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
baada ya kumuapisha Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa
Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mhe. Dotto Mashaka Biteko baada ya kumuapisha kuwa Naibu
Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo. Kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Januari 8,
2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mhe. Dotto Mashaka Biteko baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa
Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
picha ya pamoja na viongozi baada ya kumuapisha Mhe. Dotto Mashaka
Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na mmoja wa wajumbe wa kamati ya Nishati na Madini waliohudhuria
kwenye hafla ya kuapishwa Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa
Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 8, 2018. PICHA NA IKULU.
0 comments:
Post a Comment