Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda
wake Profesa Benno Ndulu mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza
muda wake Profesa Benno Ndulu mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa
Florens Luoga aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
Profesa Florens Luoga mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
Profesa Florens Luoga wa kwanza (kushoto) pamoja na Gavana wa Benki Kuu
ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu wa kwanza
(kulia) mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania
(BOT) Profesa Florens Luoga wa kwanza (kushoto) pamoja na Gavana wa
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu wa
kwanza (kulia) mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa
Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza
muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wanahabari kuhusu masuala mbalimbali ya kifedha. Kushoto
ni Gavana Mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga
pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake
Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amewashika mikono na kuwanyanyua juu kwa furaha Gavana Mteule wa Benki
Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga (kushoto) pamoja na Gavana
wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo na Gavana mteule wa
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga pamoja na Gavana wa
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda
wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Gavana Mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa
Florens Luoga Ikulu jijini Dar es Salaam.
Gavana
Mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga
akipongezana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda
wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment