Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed
Salim, kwenye Hoteli ya Radisson Blue, mjini Addis Ababa, wakati
akiondoka kurejea Dar es salaam, kushoto ni Mke wa Salim Ahmed salim,
Amne Salim.Waziri Mkuu alikua Ethiopia kumwakilisha Rais John Pombe
Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU.
Januari 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akiagana na Rais wa Comoros, Azali Assoumani,
ndani ya ndege ya shirika la Ethiopian Airline, wakiwa wanarejea kutoka
kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja AU, Januari 30, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia
Mjema, nje ya ndege ya shirika la Ethiopian Airline, wakati akiwasili
kutoka kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja AU, Januari 30,
2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment