Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
|
Msajili wa mbio za Tigo Kili Half Marathon, Celina Charles (kulia), akimuandikisha, Nicholas Njanga, kutoka nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika Machi 4 katika viwanja vya Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Wateja wa Tigo wanaweza kujisajili kushiriki kupitia namba *149*20#. |
|
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwa wingi kujisajili kushiriki mbio za Km 21 za Tigo Kili Half Marathon katika zoezi la usajili linaloendelea siku ya leo na kesho katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam. Wateja wa Tigo wanaweza kujisajili kupitia namba *149*20# ili kushiriki mbio hizo zitakazofanyika katika viwanja vya Ushirika jijini Moshi tarehe kupitia 8 Machi mwaka huu. |

Add capBaadhi ya wananchi waliojitokeza kwa wingi kujisajili kushiriki mbio za Km 21 za Tigo Kili Half Marathon katika zoezi la usajili linaloendelea siku ya leo na kesho katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam. Wateja wa Tigo wanaweza kujisajili kupitia namba *149*20# ili kushiriki mbio hizo zitakazofanyika katika viwanja vya Ushirika jijini Moshi tarehe kupitia 8 Machi mwaka huu. |
|
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael akizungumza na waandishi wa habari kuhusu usajili wa Tigo kili half Marathon unaondelea siku ya leo na kesho katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam. Wateja wa Tigo wanaweza kujisajili kupitia namba *149*20# ili kushiriki mbio hizo zitakazofanyika katika viwanja vya Ushirika jijini Moshi tarehe kupitia 8 Machi mwaka huu. |
Usajili na kuchukua namba za ushiriki wa Tigo Kili Half Marathon 2018 umeanza leo katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Watu wengi wa rika zote wamejitokeza leo kukamilisha usajili wao ili kukimbia mbio hizo za KM 5, Km 21 na KM 42 ambazo zitafanyika katika viwanja vya ushirika Moshi tarehe 8 Machi, 2018.
Akizungumza na waandishi wa habari katika eneo ambapo usajili ulikuwa unaendelea, Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael alisema kuwa wateja wa Tigo wanaweza pia kujisajili kupitia namba *149*20#
'Kujisajili, piga namba *149*20# kisha fuata maelekezo rahisi ili ukamilishe usajili na kufanya malipo. Utapata ujumbe mfupi wa maneno (SMS) unaothibitisha muamala wako. Tunza ujumbe huo mfupi na kisha nenda nao pamoja na kitambulisho chako halisi katika vituo vilivyotajwa ili kuchukua namba yako ya ushiriki' alisema Woinde.
Vituo, tarehe na maeneo ambapo zoezi la kukamilisha usajili na kupokea namba ya ushiriki ni kama ifuatavyo;
Dar es Salaam
TAREHE : 24 & 25 Februari - Jumamosi Na Jumapili.
MUDA: Saa Sita mchana hadi saa Kumi na Moja jioni
MAHALI: Mlimani City Mall karibu na Mgahawa wa Grano
Arusha:
TAREHE: 27 & 28 February – Jumanne na Jumatano
MUDA: Kuanzia saa Nane Mchana hadi saa Mbili usiku.
MAHALI: Kibo Palace Hotel (Mlango wa Nyuma Parking )
Moshi
Tarehe: 01 March - Alhamisi Saa Sita Mchana hadi saa Moja Usiku
Tarehe 02 March – Ijumaa Saa Nne Asubuhi Hadi saa Moja Usiku
Tarehe 3 March– Jumamosi Saa Tatu asubuhi hadi saa Sita Mchana
Mahali: Keys Hotel. Uru Road
0 comments:
Post a Comment