Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya, Dkt. Adelardus Kilangi
Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akimwapisha Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Paul Joel Ngwembe
Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akimwapisha, Mhe. Gerson J. Mdemu kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania
Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza, Mhe. George Mcheche Masaju akiongea machache baada ya
kumwapisha kuwa Jaji wa Mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam leo
Februari 3, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwaangalia wakila kiapo cha maadili ya viongozi kutoka kulia ma-Jaji
wa Mahakama kuu Mhe. George Mcheche Masaju na Mhe. Gerson J. Mdemu,
wakifuatiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya Dkt. Adelardus Kilangi
na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Paul Joel Ngwembe baada ya
kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Mhe. Gerson J. Mdemu akiongea machache baada ya kumwapisha
kuwa Jaji wa Mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3,
2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya Dkt. Adelardus Kilangi
akiongea machache baada ya kumwapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo
Februari 3, 2018 .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya Mhe. Paul Joel
Ngwembe akiongea machache baada ya kumwapisha Ikulu jijini Dar es
salaam leo Februari 3, 2018 .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Mhe. Gerson J. Mdemu baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahakama Kuu
Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018. Kushoto ni Mwanasheria
Mkuu wa Serikali mpya Dkt. Adelardus Kilangi na kulia ni Jaji wa
Mahakama kuu Mhe. George Mcheche Masaju Ikulu jijini Dar es salaam
leo Februari 3, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Makamu wa Rais Mama Samia suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, waziri wa katiba
na sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson,
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na
Usalama katika picha ya kumbukumbu na walioapishwa ma-Jaji wa Mahakama
kuu Mhe. George Mcheche Masaju na Mhe. Gerson J. Mdemu, Mwanasheria
Mkuu wa Serikali mpya Dkt. Adelardus Kilangi na Naibu Mwanasheria Mkuu
wa Serikali Mhe. Paul Joel Ngwembe baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar
es salaam leo Februari 3, 2018.
Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment